SINGIDA: TIA WASHEREHEKEA MAHAFALI YA KUMI NA SITA (16) KAMPASI YA SINGIDA, MWANZA NA KIGOMA.


Chuo cha Uhasibu Mkoa wa Singida (TIA) leo tarehe 30.11.2018 wamefanya Mahafali ya kumi na sita (16) kwa Kampasi za Singida, Mwanza na Kigoma, ikiwa ni baada ya Wanafunzi kuhitimu Kozi mbalimbali chuoni hapo.

Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, akihutubia katika Mahafali hiyo amewapongeza Wanafunzi waliofanikiwa Kuhitimu masomo yao, kwani wapo ambao walipenda kuhitimu ila hawakufanikiwa Kwa mambo mbalimbali yaliyo wasibu na kuwakosesha hitaji lao, Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. amewapongeza Walimu na Bodi ya Chuo kwa ushirikiano walio nao na kwa kuweza kukifikisha Chuo hapo kilipo, 
Aidha, Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayo ongozwa na Kipenzi cha wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Mgufuli kwa kuendelea Kutoa huduma mbalimbali kwa wa Tanzania ikiwemo ya kuhudumia Vyuo mbalimbali Nchini.

Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Ambaye ndiye Mgeni Rasmi akihutubia umati ulohudhuria Mahafali hiyo.

Wahitimu wa Chuo cha TIA wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali,

Mgeni Rasmi katika sherehe hiyo Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.

Wahitimu wa Chuo cha TIA wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.

Walimu wa Chuo cha TIA wakisikiliza Hotuba yMgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.

Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha TIA.

Wazazi na jamaa karibu wa Wahitimu wakiwa wameketi kutizama tukio zima la Mahafali.
Wahitimu wakipokea Vyeti vyao kwa Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. 







Kikundi cha ngoma cha Msange wakitumbuiza.

Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. akifunga sherehe ya Mahafali.

Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Akitoka eneo la Mahafali.

Picha ya pamoja Mgeni Rasmi na Walimu wa Chuo cha TIA.

MWISHO.

@bazilmjungu#

Comments

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

DC MTATURU Azindua Jengo la kituo cha huduma ya Mama na Mtoto Matare Ikungi Singida