WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY


        Rehema Sombi Omary

Mgombea UBUNGE VITI MAALUMU UVCCM kutoka Mkoa wa Singida.

*WASIFU BINAFSI*
*JINA KAMILI*: REHEMA SOMBI OMARY

Jinsia:Ke

Uraia :Mtanzania

Kuzaliwa:07,March 1994

Lugha:Swahili,Kiingereza

Anuani:S.L.P 809, Singida,Tanzania

Barua Pepe : omaryrehema31@gmail.com
*ELIMU*
- Shahada ya Sayansi katika Uuguzi
-Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohana-Shahada ya Uuguzi

-Bwiru Girls high School-Cheti cha Elimu ya Sekondari ya juu

-Kipata Girls Islamic High School-Cheti cha Elimu ya Sekondari

-Utemini Primary School-Cheti Cha Elimu ya Msingi
 
-Ummu Salama nursery school- Cheti Cha elimu ya awali

*UZOEFU KITAALUMA*
-Afisa Muuguzi kitengo cha ICU/CCU hospital ya Benjamin Mkapa-Dodoma (2019-2020) 

-Mafunzo Tarajali katika hospital ya The Benjamin Mkapa-Dodoma (2018-2019)

-Mafunzo kwa vitendo hospital ya Rufaa ya Dodoma( 2016-2017)

-Mafunzo kwa vitendo hospital ya Rufaa ya Singida (2015-2016)

-Mafunzo kwa vitendo kituo cha afya Makole-Dodoma (2014-2015)
 
*UZOEFU WA UONGOZI KITAALUMA*;

*2016-2017&2017-2018*
 -Mwakilishi wa Kitivo- Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Yohana( *St. John's University of Tanzania*) SJUT-FBR 

 *2014-2015* 
-Serikali ya Wanafunzi Bwiru Girls Secondary-- Kiongozi wa nidhamu

*2010-2011*
-Serikali ya Wanafunzi Kipata Girls Islamic- Katibu Mkuu

*2009-2010*
-Serikali ya wanafunzi shule ya Sekondari Senge- Kiongozi wa taaluma
*2005-2006*
-Utemini Primary School-Dada mkuu.


*SIASA NA UONGOZI*
#Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi mwenye kadi namba AH 7012711.

# *Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi-Mwanachama wa Jumuiya ya vijana mwenye kadi namba 1160972*
 
*SIFA ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA*
*2017-2022* 
Mjumbe wa baraza kuu UVCCM Taifa

*2012-2017*
 Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

*2006-2009*
 Mjumbe kamati tendaji Chipukizi Taifa.

*2006-2009*
 Mwenyekiti Chipukizi Mkoa wa Singida.

*2003-2006* 
Kiongozi kikosi cha chipukizi kuvisha skafu viongozi mbalimbali.

*NAFASI NILIZOHUDUMU NDANI YA JUMUIYA KWA UONGOZI WANGU*:

*2006-2008&2017-2022* Mjumbe kamati ya Utekelezaji UVCCM (M)Singida.

*2017-2022* 
Mjumbe Halmashauri kuu CCM(M)Singida

*2012-2017&2017-2022* Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Singida.

*2012-2017&2017-2022* Mjumbe Mkutano Mkuu UVCCM Taifa.

*2006-2009&2017-2022*
Mjumbe baraza UVCCM mkoa.



NB.-
*Mgombea Ubunge Viti Maalumu Kundi la Vijana Kutoka Mkoa wa Singida*.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

MHE. ANTONY MAVUNDE KUFANIKISHA UJENZI WA UZIO SHULE YA SEKONDARI DODOMA