Posts

Showing posts from June, 2021

Updates: MISUGHAA NA KIKIO KUPATA MAWASILIANO YA SIMU YA UHAKIKA

Image
Mnara wa Mawasiliano ya Simu Kata ya Misughaa unaoendelea kujengwa wafikia hatua za mwisho. Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Miraji Mtaturu ameishukuru Serikali chini ya Mhe Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya kuleta maendeleo kwa Wananchi. #SingidaMashariki#MaendeleoYetu#

MTATURU AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA UMISETA WILAYA YA IKUNGI

Image
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Mtaturu leo 13/06/2021 Amekabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu ya Umiseta ya Wilaya Inayojinoa kuelekea Mashindano ya Umiseta Kitaifa.

UJENZI WA MNARA WA SIMU MISUGHAA WAANZA

Image
Ujenzi wa Mnara wa Simu Kata ya Misughaa Utakaosaidia kuondoa tatizo la Mtandao wa Simu Bonde lote la Misughaa na Kikio. Mkandarasi yupo site Mnara huo utagharimu Milioni 385 hadi kukamilika. Kazi inaendelea Tunaishukuru sana Serikali. Mhe. Miraji Mtaturu #Singida #Mashariki #Maendeleoyetu

JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI LAPEWA ZAIDI YA MILIONI 500 ZA BARABARA KIWANGO CHA MORAMU

Image
Mhe. Elibariki Kingu Mbunge wa Jimbo hilo Aishukuru Serikali. Milioni 250 kujenga barabara kwa kiwango cha MORAMU kutoka Sepuka mpaka Mtunduru, Tumepewa Fedha Milioni 250 kujenga Barabara kutoka Minyinga hadi Irisya, Tumepitishiwa Bajeti Barabara ya Nduru hadi Makilawa Singida Sepuka kazi Inaendelea Singida Iyumbu kazi Inaendelea Tunapata pesa za Road Fund barabara ya Muhintiri Iglansoni Minyughe Mayaha tayari kazi inaanza Muda Rais Samia Suluhu Anapeleka pesa kwa wananchi kuliko wakati wowote nimewahi kushuhudia nikiwa Serikalini na Bungeni Hakika Huyu Rais aungwe mkono na kila mzalendo Long live Samia Suluhu Elibariki Kingu Mbunge Singida Magharibi