UJENZI WA MNARA WA SIMU MISUGHAA WAANZA

Ujenzi wa Mnara wa Simu Kata ya Misughaa Utakaosaidia kuondoa tatizo la Mtandao wa Simu Bonde lote la Misughaa na Kikio.
Mkandarasi yupo site Mnara huo utagharimu Milioni 385 hadi kukamilika.

Kazi inaendelea Tunaishukuru sana Serikali.

Mhe. Miraji Mtaturu
#Singida #Mashariki #Maendeleoyetu

Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

CHIFU SINGU MISSANGA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA KABILA LA WANYATURU