Posts

Showing posts from January, 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 3/2022

Image
Magazateni leo: Januari 03/2022

KAMATI YA UJENZI WA OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYA YA IKUNGI YAMSHUKURU MBUNGE KINGU

Image
Kamati ya Ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ikungi Tumepokea vifaa vya ujenzi wa Ofisi yetu ambayo mda si mrefu itaanza kutumika. Hadi sasa Jengo na Ofisi zote zilizopo humo ndani karibu asilimia 70% kukamilika. Alhaji Salum Chima: Mhasibu Kwa niaba ya Mkt wa Kamati ya Ujenzi wa Ofisi ya Chama Wilaya ya Ikungi naomba niwa pongeze washetiri wetu na kipekee Ninaomba kumshukuru Mhe. Elbarik Kingu Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi kwa utayari wake na majitoleo makubwa kwa kututafutia kiasi cha Shs 10 milioni Fedha hii imetuongezea nguvu kubwa katika kazi ya ujenzi ambapo tayari tumefanya kazi zifuatazo. 1. Tumejaza kifusi na Moram Ofisi zifuatazo Mkt, Katibu, Katibu mahususi na makatibu wote wa jumuia, store na jiko. 2. Tumepiga Lipu na sakafu Ofisi ya Mkt, Ktb na Katibu mahususi ndani na nje. 3. Tumefunga grili madirisha yote.  4. Tumefunga madirisha ya Aluminium ofisi za Mkt, Ktb na Secretary. 5. Tumeweka frem za milango 14 mahususi. 6. Tumefunga gpsum board ofisi za