Posts

Showing posts from January, 2019

Askofu MAPUNDA Aongoza Misa Takatifu ya Mazishi ya Fr Ladislaus Bahali ...

Image

DAR es SALAAM: NUKUU ZA NDG. POLEPOLE KATIKA DARASA NA HIJJA YA KIITIKADI - TAWI LA CCM KATIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI

Image
Nukuu za Ngd Humphrey Polepole. 1. "Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilianzishwa na CCM tangu 1958 na hapa ndipo makada walipokuwa wanapikwa kiitikadi, ndio kilikuwa -  Chuo Cha Kigamboni Cha Chama na tulipoanza mfumo wa Vyama vingi tukakitoa kwa Serikali bure, kuja hapa Chuo Cha Kumbukumbu ya  Mwalimu Nyerere ni hijja ya kiitikadi kwetu"  Ndg. Polepole 2.  "Huwezi kuzungumzia historia ya Nchi yetu, ukakiacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwani Chama chetu kina mahusiano ya moja kwa moja na historia ya Nchi yetu"  Ndg. Polepole 3. "Maendeleo ni kitu kipana na kikubwa hivyo tuliopewa dhamana na mamlaka tunapaswa kuendelea na juhudi za kuwaletea wananchi maendeleo kwa weledi   maarifa na uaminifu mkubwa" Ndg. Polepole 4. "Mara nyingi baadhi yetu hatupendi kushukuru na kukubali ( appreciate) kwa mambo mazuri ambayo yanafanywa tena na watanzania wenzetu na tusipoweza kufanya hivyo hata kwenye mambo madogo kamwe hatuwezi kushukuru na kukubali (appreciat