IKUNGI: WAZEE WA IKUNGI WAMPONGEZA MKUU WA WILAYA Mhe. MIRAJI J. MTATURU KWA KUSIMAMIA MAENDELEO KWA UZALENDO WA KIPEKEE

Wazee Wa Ikungi wampongeza Mkuu wa Wilaya Mhe Miraji J.Mtaturu kwa kusimamia Maendeleo kwa wananchi kwa miaka miwili Ikungi yasonga mbele kimaendeleo na Amani na Utulivu yatawala. 

Wamuombea makubwa zaidi na waahidi kumuunga mkono ili atimize malengo ya Serikali chini ya Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

CHIFU SINGU MISSANGA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA KABILA LA WANYATURU