TEKELEZA WAJIBU WAKO IKUNGI IENDELEE

DC Mtaturu atoa maagizo kwa watumishi ikiwa ni MPANGO KAZI.

Maagizo:

1.Viongozi watoke ofisini kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.

2.Kusoma mapato na matumizi kwa mujibu wa sheria.

3.Kusimamia uhifadhi wa mazingira.

4.Msimu wa kilimo2018/19 idara ya Kilimo kuandaa kalenda maalum kwenda na mpango mkakati wa idara ikiwemo kutumia zana bora za kilimo na mbegu bora.

5.Jamii kushiriki kusimamia Elimu kwa kusaidiana na Wataalam wa Idara husika ili kuongeza Ufaulu.

6.Kampeni ya Usafi wa mazingira,Ujenzi wa Vyoo Bora na Unawaji mikono.

"IkungiYetuSote#TuijengePamoja#

Comments

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

DC MTATURU Azindua Jengo la kituo cha huduma ya Mama na Mtoto Matare Ikungi Singida