MAAZIMISHO YA NYERERE DAY IKUNGI SINGIDA


Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe MIRAJI JUMANNE MTATURU kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ikungi, Wameshiriki kufanya usafi katika Hospital teule ya Wilaya ya Ikungi ambayo ni Makiungu Hospitali, Siku ya Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

SR, Dkt. MAGDALENE UMOREN. Mganga mkuu Hospitali teule ya wilaya, akitoa shukrani kwa ugeni uluojitokeza Siku ya Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Kwa kufanya usafi na kutoa zawadi kwa wagonjwa na wazazi.

Padre. MARTIN SUMBI. Afisa Utawala wa Hospitali ya Makiungu, Akiishukuru Ofisi ya Mkuu wa wilaya na ya Mkurugenzi wa ushirikiano walioutoa Leo katika kufanya usafi na kutoa zawadi kwa wazazi na wagonjwa Siku ya Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe.Miraji Jumanne Mtaturu. Akiwashukuru watumishi wa Halmashauri na watumishi wa Hospital ya Makiungu kwa ushirikiano waliouonyesha katika kufanya usafi kwa pamoja na kuwatembelea wagojwa Siku ya Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.


Comments

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

DC MTATURU Azindua Jengo la kituo cha huduma ya Mama na Mtoto Matare Ikungi Singida