UFUNGUZI KIKAO CHA UWEKEZAJI WILAYA YA IKUNGI KILIMO CHA ALIZETI CHAPEWA KIPAUMBELE

Na Bazil Mjungu Singida:

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Jerry Muro leo Tarehe 29 October 2021 amefungua kikao Cha Uwekezaji Katika sekita ya Kilimo Wilaya ya Ikungi.


Katika kikao hicho Kaimu Mkuu wa Mkoa amesema uwekezaji katika kilimo wao wameona Ni vema kuanza na Uwekezaji wa Kilimo cha zao la Alizeti.


Pamoja na Mambo mengine Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida Jerry Murro amesema halmashauri ya Wilaya ya Ikungi imetenga ekari zaidi ya laki Moja kwa ajili ya kilimo cha alizeti.



Aidha Mhe Jerry Muro amesema tayari Wizara ya kilimo imeshatoa Mbegu bora za kilimo kiasi cha tani elfu 13 kwa ajili ya wakulima wa alizeti Wilayani Ikungi.



Wajumbe wa  Kikao cha Uwekezaji Wakisikiliza Hotuba ya kaimu Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Jerry Muro.


Ras Mstaafu Alhaji Salum Chima kushoto na Mkurugenzi wa JMC Eng. Msafiri wakisikiliza Hotuba ya Ufunguzi wa Kikao cha Uwekezaji.


Wadau wa Kilimo wakisikiliza Hotuba ya Ufunguzi wa Kikao cha Uwekezaji iliyotolewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Jerry Muro.


#ssh
#ikulutanzania
#bazotvnews
#bazotvonline
#kaziiendelee
#azanews
#tbc
#itv
#ikungi


Comments

  1. Mungu ibariki kazi ya miko ya wote na pia ibariki mana Anasema leteni wazi nami nitalidhibitisha Mungu akubariki sana Mh.Jerry kwa mipango na maendeleo ya watu wa ikungungu na kwa uchumi wa Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Mungu alikuze jina lako kuliko ahadi yake

    ReplyDelete
  3. Huyu muheahimiwa akiupewa mkoa mzima baada ya miaka kumi Kuna kundi lawawekezaji wengi Sana watavamia huu mkoa....maana kila kukicha anakuja na mpango mpya wa maendeleo...He is very creative.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

DC MTATURU Azindua Jengo la kituo cha huduma ya Mama na Mtoto Matare Ikungi Singida