ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU JIMBONI


Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu Leo tarehe 19 July, 2021 amefanya ziara kata ya Siuyu baada ya kutembelea Miradi shule ya Sekondari Siuyu aliwapelekea Milion 3 kuendeleza ujenzi wa maabara na serikali imepeleka milion 30 kumalizia ujenzi huo.

Serikali imepeleka milion 40 kujenga vyumba viwili vya madarasa na ofisi ya walimu.
Serikali imepeleka milion 12 kujenga madarasa shule ya msingi Nalli,matundu ya vyoo 6 zahanati ya Unyankhanya ujenzi wa matundu 6 ya vyoo.

Nimewajulisha rasmi wananchi wa Siuyu serikali imetenga milion 280 kufungia barabara muhimu ya Siuyu-Nalli-Makotea km 7.26 inayounganisha vijiji vya kata ya Siuyu.

#SingidaMashariki#MaendeleoYetu#KipaumbeleChetu#KaziIendelee#

Comments

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

MHE. ANTONY MAVUNDE KUFANIKISHA UJENZI WA UZIO SHULE YA SEKONDARI DODOMA