ZIARA YA WAZIRI MEDARD KALEMANI SINGIDA MASHARIKI YALETA FARAJA KWA WANANCHI
Baada ya Ziara ya Waziri Dkt Medard Kalemani Aprili 18, 2020 aliagiza Kijiji cha Kimbwi kuwekewa Umeme Ndani ya Siku 30 Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu Tarehe 17/05/2020 amefika kukagua mradi huo na nguzo 152 zimesimikwa, Wananchi wafurahia.
#ManenokidogokaziZaidi
#SindigaMasharikiMaendeleo
Comments
Post a Comment