HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI YAENDELEA KUPATA HATI SAFI

Mweyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mhe Ally Juma Mwanga amewapongeza watumishi wa Halmashauri hiyo chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ndugu Justice Lawrence Kijazi kwa kuendelea kusimamia ukusanyaji mapato na kuongeza Mapato katika Wilaya hiyo.

#bazotvUpdate

Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

CHIFU SINGU MISSANGA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA KABILA LA WANYATURU