MTATURU AKUTANA NA BODABODA JIMBONI KWAKE KUSIKILIZA KERO NA KUZIPATIA UFUMBUZI

Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu leo Tarehe 31/05/2020 amekutana na Bodaboda wa Wilaya ya Ikungi ikiwa ni utaratibu wake wa kawaida kukutana na Makundi mbalimbali ili kupokea kero na changamoto zao ili kuzitafutia ufumbuzi.
#MtaturuJimboni

Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

CHIFU SINGU MISSANGA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA KABILA LA WANYATURU