UTEKELEZAJI WA OMBI LA MBUNGE MTATURU WIZARA YA MAJI UNAENDELEA

Baada ya mvua kusimama na Ardhi kuwa kavu hatimae Mkandarasi Target amefika Kijiji cha Sakaa kumalizia kuchimba kisima kirefu na Tarehe 17/05/2020 yamepatikana Maji Safi na baridi kwa Ajili ya Matumizi ya Wananchi, Vijiji vya Msuke, Mkunguwakihendo, Mampando, Msule na Ujaire vinafuatia.

#ManenokidogokaziZaidi
#SingidaMasharikiMaendeleo


Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

CHIFU SINGU MISSANGA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA KABILA LA WANYATURU