TABASAMU LAONGEZEKA KWA WAKULIMA WILAYANI IKUNGI - SINGIDA

Na Mwandishi wetu - Ikungi:
Afisa Kilimo Ndugu Lucas Mkuki kutoka Sekretarieti ya Mkoa kwa niamba ya Katibu Tawala Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Singida awasisitiza wakulima kutumia mbinu za kisasa na kufuta kanuni bora za kilimo ili kufikia tija inayotakiwa katika kila mazao...

Akizungumza katika Shehere ya Siku ya Mkulima Shambani iliyofanyika jana tarehe
06 April,2023 katika kijiji cha Matongo
Meneja wa shirika hilo lisilo la kiserikali alisema wataendelea kufikia vijiji vingine na kutoa elimu hii lengo Ikiwa ni kukuza kilimo katika Wilaya ya Ikungi na Mkoa wa singida kwa ujumla...

Naye Afisa kilimo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Gurisha Msemo aliahidi kuendelea kufanya usimamizi wa hayo ili wakulima kuendelea kupata faida kubwa katika mradi huu wa Kilimo biashara "nitasimamia vikundi 40 ndani ya Wilaya yetu waliolima kwa tija ya kupata gunia 25 hadi 40 katika ekari 1" badala ya wakukima kulima kilimo cha mazoea.alisema Afisa Kilimo Gurisha.

Aidha Zaidi ya Vikundi 40 vyanufaika na mashamba darasa haya ya mahindi na Alizeti katika vijiji 8 vilivyopo Wilaya ya Ikungi kupitia mradi wa ELCAP.

Comments

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

DC MTATURU Azindua Jengo la kituo cha huduma ya Mama na Mtoto Matare Ikungi Singida