Rehema Sombi Omary Mgombea UBUNGE VITI MAALUMU UVCCM kutoka Mkoa wa Singida. *WASIFU BINAFSI* *JINA KAMILI*: REHEMA SOMBI OMARY Jinsia:Ke Uraia :Mtanzania Kuzaliwa:07,March 1994 Lugha:Swahili,Kiingereza Anuani:S.L.P 809, Singida,Tanzania Barua Pepe : omaryrehema31@gmail.com *ELIMU* - Shahada ya Sayansi katika Uuguzi -Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohana-Shahada ya Uuguzi -Bwiru Girls high School-Cheti cha Elimu ya Sekondari ya juu -Kipata Girls Islamic High School-Cheti cha Elimu ya Sekondari -Utemini Primary School-Cheti Cha Elimu ya Msingi -Ummu Salama nursery school- Cheti Cha elimu ya awali *UZOEFU KITAALUMA* -Afisa Muuguzi kitengo cha ICU/CCU hospital ya Benjamin Mkapa-Dodoma (2019-2020) -Mafunzo Tarajali katika hospital ya The Benjamin Mkapa-Dodoma (2018-2019) -Mafunzo kwa vitendo hospital ya Rufaa ya Dodoma( 2016-2017) -Mafunzo kwa vitendo hospital ya Rufaa ya Singida (2015-2016) -Mafunzo kwa vitendo kituo cha afya Makole-Dodoma (2014-2015) *UZOEFU WA UONGOZI KITAAL
Na Musa Njoghomi Sehemu ya Kwanza. Ikweta(Equator) ni mstari unaoigawa dunia katikati na kutoa pande kuu mbili zinazolingana, ambazo ni ukanda wa kaskazini na ukanda wa kusini(Northern & Southern hemisphere) Kijiografia maeneo ya ukanda wa *Ikweta* ndio maeneo pekee yenye sifa za mvua nyingi,ardhi yenye rutuba & misitu mikubwa na ya kijani( Evergreen forest) hii ni kwasababu ya hali ya hewa inayopatikana katika ukanda huu( high temperature) with high evaporations. Kwetu sisi Tanzania mstari wa Ikweta umepita jirani yetu hapo nchini Kenya, hivyo tulipaswa kuwa na misitu mingi sana mithili ya Congo Forest. Nchi zilizopo Northern Pollar & Souther pollar haziwezi kuwa na miti mingi kwasababu ya nature ya hali ya hewa. Nchi za pollar regions huona jua kwa nadra sana sio sawa na sisi. hivyo wao kuwa misitu mingi kama sisi ni changamoto. Pia wanachangamoto za barafu eg, nchi kama Iceland,Newzealand etc Sisi tuliopo Ikweta/ Karibu na Ikweta ndio tunapaswa kuwa na wajibu wakukabili
* IKUNGI *Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu amezindua Jengo la Kituo cha Huduma ya Mama na Mtoto katika Zahanati ya Matare Ikungi Jengo lililotumia zaidi ya Milioni 230, Katika uzinduzi huo, Mhe Mtaturu amewataka watumishi wa Afya kutoa Huduma ya Mama na Mtoto kwa moyo wa HURUMA ili kuwafanya wananchi kuiamini Serikali waliyoichagua inayo ongozwa na Kipenzi cha watu Dkt John Pombe Magufuli, Aidha amewataka Wananchi kulipia bima za Afya ili kujiwekea akiba ya matibabu kwani maradhi hayana maandalizi. Alimaliza kwa Kumuagiza Mganga Mkuu wa wilaya kuhakikisha dawa hazikosekani katika zahanati zote na vituo vya Afya wilayani Ikungi.*
Comments
Post a Comment