MTATURU ATOA MILIONI 1. UNUNUZI WA VYEREHANI VITANO CHUO CHA RYADHA CHA KIISLAM IKUNGI

Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu leo 12/12/2020 Amehudhuria Kufungwa kwa Chuo Cha Kiislam Cha Ryadha Cha Ikungi Mkoani Singida na Kukabidhi Milioni 1 kwaajili ya Ununuzi wa Vyerehani vya kujifunzia Wanafunzi Chuoni hapo.
#ManenoKidogoKazizaidi


Comments

Popular posts from this blog

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

CHIFU SINGU MISSANGA ASIMIKWA KUWA KIONGOZI WA KABILA LA WANYATURU