DIWANI PEKEE WA KATA YA NTUNTU AMBAYE NI MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA IKUNGI NA MJUMBE WA BARAZA KUU CHADEMA TAIFA ALA KIAPO CHA UDIWANI


Diwani pekee wa Kata ya Ntuntu ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Ikungi na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa Ndg. Omary Athumani Toto Ameapa mbele ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ikungi kuwa Diwani wa Kata hiyo licha ya Halmashauri Kuu ya chama chake kuweka zuio la wanachama wote waliochaguliwa kutokula kiapo kwa kuwa chama hicho hakijakubaliana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2020 na kuwa hawawatambui viongozi waliochaguliwa akiwepo Rais John Magufuli.


Mhe. Omary Athumani Toto akipokea Ilani ya CCM kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi.

Comments

Popular posts from this blog

WASIFU BINAFSI JINA KAMILI: REHEMA SOMBI OMARY

IJUE FAIDA YA MSTARI WA IKWETA KUWA KARIBU NA NCHI YAKO

DC MTATURU Azindua Jengo la kituo cha huduma ya Mama na Mtoto Matare Ikungi Singida