SIASA ZA IKUNGI NA HATIMA YA MAISHA YA WANAIKUNGI
MAKALA YANGU:
Ramadhani Ndoghwe:
Jimbo la Singida Mashariki ni takribani miaka 9 limekuwa katika SIASA za UPOFU zisizokuwa na dhamira ya dhati kuwainua watu Kiuchumi na kijamii huduma za Afya na Maji zilikosekana kwa %70, Barabara hazikupitika, Vijana walikaririshwa kuwa maendeleo ni Kuku kuota Makucha eti hayo ndio maendeleo wakasahau kuwa MTU NI AFYA, wakasahaulishwa Ukombozi FIKIRA CHANYA na kushiriki kikamilifu katika kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais John Pombe Magufuli za Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa kati.
Mnamo September 2019 alipatikana Mbunge mwenyewe dahana halisi ya kuwasemea wananchi na kuleta chachu ya maendeleo katika Jimbo la Singida Mashariki na Vitu kama Miundombinu za Barbara, Maji na Afya zimeanza kutatulia na kuonyesha njia sahihi ya maana ya uongozi niseme Sasa tumetoka kule tulipokuwa na sasa tunaenda kutekeleza dhana hizo kikubwa ni kuamini kuwa TANZANIA ya Viwanda inawezekana Kwa sasa Jimbo la Singida Mashariki,
Tumepata Mhe. Miraji Mtaturu kiongozi mwenye uwezo wa kuzungumzia kero na mahitaj ya wana Ikungi mzigo mzito Mbebeshe Mnyamwezi} Miraji Jumanne Mtaturu ndiye Mnyamwezi wetu tuvushe vema BABA tunakuamiani na tunaamini unaweza.
Na.
Ramadhani Ndoghwe.
Mwananchi JSM.
Comments
Post a Comment