Na Musa Njoghomi Sehemu ya Kwanza. Ikweta(Equator) ni mstari unaoigawa dunia katikati na kutoa pande kuu mbili zinazolingana, ambazo ni ukanda wa kaskazini na ukanda wa kusini(Northern & Southern hemisphere) Kijiografia maeneo ya ukanda wa *Ikweta* ndio maeneo pekee yenye sifa za mvua nyingi,ardhi yenye rutuba & misitu mikubwa na ya kijani( Evergreen forest) hii ni kwasababu ya hali ya hewa inayopatikana katika ukanda huu( high temperature) with high evaporations. Kwetu sisi Tanzania mstari wa Ikweta umepita jirani yetu hapo nchini Kenya, hivyo tulipaswa kuwa na misitu mingi sana mithili ya Congo Forest. Nchi zilizopo Northern Pollar & Souther pollar haziwezi kuwa na miti mingi kwasababu ya nature ya hali ya hewa. Nchi za pollar regions huona jua kwa nadra sana sio sawa na sisi. hivyo wao kuwa misitu mingi kama sisi ni changamoto. Pia wanachangamoto za barafu eg, nchi kama Iceland,Newzealand etc Sisi tuliopo Ikweta/ Karibu na Ikweta ndio tunapaswa kuwa na wajibu wakukabili ...
Rehema Sombi Omary Mgombea UBUNGE VITI MAALUMU UVCCM kutoka Mkoa wa Singida. *WASIFU BINAFSI* *JINA KAMILI*: REHEMA SOMBI OMARY Jinsia:Ke Uraia :Mtanzania Kuzaliwa:07,March 1994 Lugha:Swahili,Kiingereza Anuani:S.L.P 809, Singida,Tanzania Barua Pepe : omaryrehema31@gmail.com *ELIMU* - Shahada ya Sayansi katika Uuguzi -Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohana-Shahada ya Uuguzi -Bwiru Girls high School-Cheti cha Elimu ya Sekondari ya juu -Kipata Girls Islamic High School-Cheti cha Elimu ya Sekondari -Utemini Primary School-Cheti Cha Elimu ya Msingi -Ummu Salama nursery school- Cheti Cha elimu ya awali *UZOEFU KITAALUMA* -Afisa Muuguzi kitengo cha ICU/CCU hospital ya Benjamin Mkapa-Dodoma (2019-2020) -Mafunzo Tarajali katika hospital ya The Benjamin Mkapa-Dodoma (2018-2019) -Mafunzo kwa vitendo hospital ya Rufaa ya Dodoma( 2016-2017) -Mafunzo kwa vitendo hospital ya Rufaa ya Singida (2015-2016) -Mafunzo kwa vitendo kituo cha afya Makole-Dodoma (2014-2015) *UZOEFU WA UONGOZI KITAAL...
Chuo cha Uhasibu Mkoa wa Singida (TIA) leo tarehe 30.11.2018 wamefanya Mahafali ya kumi na sita (16) kwa Kampasi za Singida, Mwanza na Kigoma, ikiwa ni baada ya Wanafunzi kuhitimu Kozi mbalimbali chuoni hapo. Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, akihutubia katika Mahafali hiyo amewapongeza Wanafunzi waliofanikiwa Kuhitimu masomo yao, kwani wapo ambao walipenda kuhitimu ila hawakufanikiwa Kwa mambo mbalimbali yaliyo wasibu na kuwakosesha hitaji lao, Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. amewapongeza Walimu na Bodi ya Chuo kwa ushirikiano walio nao na kwa kuweza kukifikisha Chuo hapo kilipo, Aidha, Mgeni Rasmi Mhe. Mohammed Mtonga. Ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayo ongozwa na Kipenzi cha wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Mgufuli kwa kuendelea Kutoa huduma mbalimbali kwa wa Tanzania ikiwemo ya kuhudumia Vyuo mbalimbali Nchini. Mhe. Mohammed Mtonga. Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Ambaye ndiye Mgeni Rasm...
Comments
Post a Comment